IGP Sirro ajibu madai ya CCTV Camera tukio la MO DEWJI kutewa kuwa zimechezewa

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema “Kuhusu kuchezewa camera ile footage haikuwa very clear, lakini baadaye ukiunganisha dots imeweza kusaidia kupata lile gari” IGP Sirro amekiri kuwa CCTV Camera zimewasaidia “Camera za CCTV zimetusaidia, tumeweza kutambua hilo gari kwamba inawezekana ndio gari lililohusika kwenye tukio la kumteka Mfanyabiashara Mo DEWJI, namba za gari hilo ni AGX 404 MC na limetokea Nchi jirani.

Post a Comment

0 Comments