we bring music and news for life


 

TRENDING

2019/01/19

KIBONDO KIGOMA TANZANIA


Kibondo ni Wilaya inayopatikana katika Mkoa wa Kigoma AyoTV na millardayo.com zimefika katika Wilaya hiyo na kuzungumza na Wakazi wa Mji huo wengi wao hujishughulisha na Kilimo pamoja na Ufugaji, wamefunguka kuhusiana na Wilaya hiyo juu ya watu wanoibeza kuwa ni Wilaya ambayo haina maendeleo kwa sababu ya vumbi na matope.

No comments:

Post a Comment

Pages