Meneja wa Fulham Claudio Ranieri anaamini kaimu meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anastahili kupewa kazi ya kudumu "Inabidi tukimbizane na timu zilizo mbele yetu, hususan City, Liverpool na Tottenham - pia wamekuimarisha mchezo wao. "miaka miwili' sio muda mrefu, lakini pia sio muda mfupi wa kusema tunaweza kuonesha tofauti kubwa katika maandalizi yetu, na kila kitu." Raia huyo wa Norway wa miaka 45 ambaye alishinda Tuzo ya meneja wa mwezi wa ligi ya England mwezi Januari tayari ana ''taswira'' ya jinsi "Hii timu ya Manchester United itakavyo kuwa katika kipinda cha miaka michache", hata kama hatapewakazi ya kudumu. Alipoulizwa klabu hiyo inahitaji wachezaji wangapi ili kushinda taji hilo, Solskjaer alisema: "inategemea pia utendakazi wa wachezaji waliopo kwa sasa.
Wachezaji wa Manchester United Dalot na Marcus Rashford "Ikiwa kila mchezaji anaweza kuboresha mchezo wake kwa kati ya 1-2% na wala sio idadi ya wachezaji. "Kununua wachezaji nyota pekee haitoshi, tulibadilisha mambo mawili matatu na ghafla tumefikia nafasi ambayo ni rahisi kushinda taji." Mwili ulioopolewa kwenye ndege iliyoanguka na wa Sala Mshambuliaji huyo wa zamani naamini United, ambao watacheza na Fulham badaye leo Jumamosi, watakuwa tayari kuwania kombe hilo mwaka ujao. "Nimetoka Molde, walikuwa nafasi ya 10 mwaka 2010, na mwaka 2011 tulishinda ligi, kwa hivyo hatuwezi kusema hilo haliwezekani," alisema.