HUYU NDIO LOWASSA EDWARD NGOYAI!!!

Nilicho gundua ni kwamba,,Huyu mzee ana akili sana pia siasa anaijua vizuri ( ndio maana ni mwanasiasa nguli nchini ).Baada ya kuchafuliwa sana na CHADEMA miaka ile na kushindwa kujisafisha akatumia ule msemo wa ' UKISHINDWA KUPAMBANA NAE UNGANA NAE'.Akajiunga CHADEMA na wakamsafisha wakizunguka nchi nzima akajizolea wafuasi wa kutosha..Sasa LOWASSA kawa Msafi kaamua kurudi aliko kulia...nadhani sasa zile kauli za LOWASSA FISADI hatuta sikia tenaa...Tutasikia LOWASSA kakimbia mapambono huku wengine wakimwita Shujaa aliefanyia nchi makubwa.. Hongera LOWASSA kwa kuamua hatima yako... Umenifunza kitu kikubwa...Lazima ujue kuipambania nafsi yako...