Magufuli awasha moto kutekwa MO DEWJI “Watanzania si wajinga” (+video)


Rais Magufuli akizungumza Ikulu leo “Jeshi la Polisi linatakiwa kuelewa kuwa Watanzania sio wajinga. kama suala la kutekwa kwa Mohamed Dewji linaacha maswali. Tuliambiwa alitekwa na wazungu lakini lilipoisha haikueleweka, mwishoni aliyetekwa alionekana anakunywa chai na Mambosasa”