Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limethibitisha #Tanzania kuwa na timu nne katika mashindano ya kimataifa kwa msimu wa 2019/2020.
Timu mbili zitashiriki Ligi ya Mabingwa na timu mbili nyingine zitashiriki Kombe la Shirikisho.
#AzamTVdiv class="separator" style="clear: both; text-align: center;">
