SHAMBULIO | UBALOZI WA MAREKANI NCHINI IRAQ |


Wakati Raia wa Iraq wakiendelea na Maandamano kushinikiza Vikosi vya Marekani kuondoka Iraq, ripoti mpya zinasema Roketi tatu zimeshambulia Ubalozi wa Marekani nchini Iraq
"zilirushwa Roketi tano na tatu zikatua moja kwa moja Ubalozini” • Roketi moja imeshambulia eneo la kulia chakula kwenye Ubalozi huo na Roketi mbili zimeangukia karibu kabisa na eneo hilo. • “Hali ni tete kwa Watumishi wa Marekani waliopo Iraq, makundi yenye silaha yanayoungwa mkono na Iran yanaendelea kutoa vitisho” #saamojaUPDATES