Breaking NEWS #Wagojwa wa Corona (COVID - 19) waongezeka Tanzania


WAGONJWA WA CORONA WATANO WAONGEZEKA, SASA WAFIKIA 19 NCHINI TANZANIA Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya, Waziri wa Afya, #UmmyMwalimu ambaye atazungumza baadaye imesema, idadi ya wagonjwa wa #corona nchini imefika 19 baada ya wagonjwa wapya watano (5) kuongezeka. Kati ya wagonjwa hao walioongezeka watatu ni kutoka jijini #DaresSalaam na wawili kutoka #Zanzibar. Wizara imeendelea kuwahimiza wananchi wote kuendelea kuchukua hatua na kufuata miongozo ya wataalamu. #SAAMOJAUPDATES #CoronaDuniani #Corona #CoronaUchumi #CoronaTanzania #CoronavirusPandemic

Post a Comment

0 Comments