FANYA KWELI HATA KAMA HUPENDI KUFANYA KWELI
Hakuna jema kama hakuna wema pembeni yako
Unaweza onekana mbaya wa roho na matendo
Kwa kushinda na watu wenye utashi na maovu

Epuka genge na majukwaa yalio bomoka ama yalio weka ufa kwenye maisha yao amini kuwa nawe utahesabiwa
Kwenye mabaya hata kama hutendi ubaya.

Ongozana na watu wenye mawazo chanya ili waijenge
Afya bora ya akili na ufahamu wako

Ili uwe mwema katika wema.

#salushinetz 

Post a Comment

0 Comments