HAKUNA HAKI HAKUNA MAPAMBANO

Maisha hayana fidia wala cha kuziba bali
Zana kubwa ni kusonga mbele

Hakuna ishara nyepesi ya mafanikio wala njia
Nyeupe yenye taswila mwanana kwa sababu
Hata wasio husika na hiyo njia pia wanatamani 
Kuipata iwe yao kwaiyo ni vita mwanzo mwisho.


Hakuna kunyoosha mikono juu kutoa ishara ya kushindwa bali 
Kila mda yakupasa kupaza sauti ya njaa hata kama umeshiba
Kwa mda huo..

Usikubali mtu kuzuia ndoto yako kirahisi wakati hata yeye ni
Mpambanaji kama wewe. Hivyo yakupasa kukomaa na kusimama wima kwenye chakula chako kama mbwa koko 
Aliyeko jalalani akiamini ndo sehemu sahihi ya kukipata chakula na hakuna sehemu nyingine tena ..

Kata shauli ya tamaa ishi ndani ya haki yako

✍@salushinetz 

Post a Comment

0 Comments