NYANYA NA KITUNGUU VINATIBU UKIMWI NA CANCER.....

NYANYA NA KITUNGUU VINATIBU UKIMWI NA CANCER.....

Naomba ieleweke hicho kichwa hapo juu sijakosea kama utabisha wew bisha ila uje na ushahid na mimi pia nitakuja na ushahidi wangu 

Wanafunz wangu wa pendwa napenda niwape somo la nyanya na kitunguu ni jinsi gani hutibu hayo magonjwa hapo juu 
Nyanya ni zao au bidhaa inayopatikana kwa urahis na kwa bei nafuu

Siri hii huwez kuipata mahali popote pale zaid ya hapa @magai_herbal_products 

Mchanganyiko huu umekua ukitumika sana nchi ya uphilipino kwa wagonjwa wa Ukimwi na Cancer, 

Jinsi ya kuandaa na matumiz

Chukua nyanya tatu na kitunguu kimoja kisha kata vipande vipande kisha weka sehemu moja kama kwenye bakuli au sahani kisha utakamulia na kipande cha limao au ndimu 
Ila hakikisha nyanya unamenya kwanza maganda yake ili kuondoa ile sumu inayopuliziwa kuua wadudu 

Matumizi yake tumia kila siku Asubuh kabla ya kula au baada ya kula na pia jioni utafanya hivyo hivyo zoezi hili utalifanya kwa muda wa miez 6 kama tiba ila ukishindwa ukitaka kujikinga na magonjwa mbali mbali basi kwa mwezi tumia mara tatu.....

Anza leo kisha utuletee majibu hapa.....

NB:NIMEANDIKA HAPA KAMA ITAKUFAA UNAWEZA TUMIA UKIONA HAIKUFAI BASI ACHA...ATA WEW UNAESUMBULIWA NA MAGONJWA MENGINE UNAWEZA KUANZA KUTUMIA ILI UJIPATIE NAFUU YA UGONJWA WAKO

DR MAGAI (FURAHA YA WATU)


#salushinetz 

Post a Comment

0 Comments