BADILI MUDA WAKO SASA

 


Kuna baadhi ya maumivu hujitokeza katika maisha pale unapo ondokewa na mtu wako wa karibu, katika hali ya kawaida maumivu hujijenga na majeraha hubaki katika kumbukumbu za ubongo na
hii hupata pale unapokuwa huwezi tena kuwa nae karibu daima.

Macho ni jengo la upendo na moyo ni chanzo cha hisia
na roho hubeba matendo halisi ya maumivu.

Sote tumuombe mungu awe nasi ila asitupende zaidi👐👐

VISIT SALUSHINE IN GOOGLE
#salu #salushine

Post a Comment

0 Comments