Uso ni Pazia la RohoUso ni Pazia la Roho

 


Uso ni Pazia la Roho maana kama pazia litaangaza upande wa pili basi kilichopo upande mwingine kitaangazika kirahisi
jitahidi kukunjua sura yako maana kama umebeba uzuri ama ubaya basi usitambulike kirahisi...

Rahisisha tabia yako kupitia sur yako kwani yale ya moyoni mwako hatuyahitaji kabisa..💞💞

Salushine
#salu

Post a Comment

0 Comments