Jesus is the savior of EVERYTHING.


 

 Jesus is the savior of EVERYTHING.

There is no other way to be reconciled to God without going through Jesus and in that sense I think the kingdom of God is the real possession of Jesus.

It is a mysterious lesson probably the actions of the mouthless of man who is not wise in the sight of God or care for his works.

Hunger will hurt but I will eat and then I will be full but it will find me again and I will continue to fight so that I can eat and life will move on as well as do as hunger hurts and when you look for food and when you are full it will continue forever until the end of your life
be with the God of heaven and earth.

To have a god is to do this - worship Him, pray to Him, serve Him and place all your hope in Him.

The eye is always the light and the light but use the brain to keep oneself right and good on God's side.

   BE BLESSED.

 

 YEsu ni mwkozi wa kila JAMBO.

Hakuna njia nyingine ya ukutanisho na mungu bila kupitia kwa yesu na kwa maana hiyo nadhani ufalme wa mungu ni miliki halisi ya Yesu.

Ni funzo lenye fumbo yamkini ni matendo sio polojo za kinywa cha mwanadamu asiye na hekima mbele ya Mungu wala kujali kazi zake.

Njaa itauma lakini nitakula kisha nitashiba lakini itanipata tena na nitazidi kupambana ili nile na maisha yazidi kusonga na vilevile fanya kama ilivyo njaa ikuumapo na utafutapo chakula na ukishiba bado itaendelea milele hadi mwisho wa uhai wako
uwe na Mungu wa mbingu na Ardhi.

Kuwa na mungu ni kufanya haya mfano   - kumuabudu,kumuomba,kumshududia na kuweka tumaini lote la maisha yako kwake.

Jicho ni  Nuru na mwanga siku zote ila tumia ubongo kujiweka sawa na mazuri kwa upande wa Mungu.

  UWE UMEBARIKIWA.

 

Post a Comment

0 Comments